Tatu ni namba ambayo inafuata mbili na kutangulia nne. Kwa kawaida inaandikwa 3 lakini III kwa namba za Kiroma na ٣ kwa zile za Kiarabu.

Mabadiliko katika kuandika tatu.

3 ni namba tasa.

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tatu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.