Telefe

kituo cha televisheni cha Argentina

Telefe (kifupi kwa Televisión Federal) ni mtandao wa televisheni wa Argentina unaomilikiwa na Paramount Global. Ilianzishwa mnamo 1990 na Avelino Porto na washirika wengine. Makao yake makuu yapo Buenos Aires.

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Telefe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.