Teni
Teniola Apata (anajulikana pia kama Teni; amezaliwa 23 Disemba 1993) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mburudishaji wa Nigeria.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Teni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |