Teofilati wa Nikomedia
Teofilati wa Nikomedia (alifariki kifungoni Strobilon, Caria, leo nchini Uturuki, 845) alikuwa askofu wa Nikomedia, Bitinia, leo nchini Uturuki, aliyedhulumiwa kirefu kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu na hatimaye alifariki uhamishoni[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |