Tetrahedroni au piramidi pandetatu ni gimba la hisabati. Uso wake ni pembetatu pandesawa nne. Ina kona nne. Pande zote hukutana kwa pembe ya nyuzi 60.

Tetrahedroni