The African Queen (Filamu) ni filamu ya matukio iliyotoka mwaka 1951 kutoka Uingereza na Marekani iliyochukuliwa kutoka kwenye riwaya ya mwaka 1935 yenye jina sawa ya C. S. Forester.[1]

Filamu hii iliongozwa na John Huston wakati Sam Spiegel na John Woolf wakiwa watayarishaji.

Wahusika hariri

  • Humphrey Bogart ambaye alicheza kama Charlie Allnut
  • Katharine Hepburn ambaye alicheza kama Rose Sayer
  • Robert Morley ambaye alicheza kama Reverend Samuel Sayer, "The Brother"
  • Peter Bull ambaye alicheza kama kapteni wa Königin Luise
  • Theodore Bikel ambaye alicheza kama afisa wa kwanza wa Königin Luise
  • Walter Gotell ambaye alicheza kama afisa wa pili wa Königin Luise
  • Peter Swanwick ambaye alicheza kama afisa wa kwanza wa Fort Shona
  • Richard Marner ambaye alicheza kama afisa wa pili wa Fort Shona
  • Gerald Onn ambaye alicheza kama afisa mdogo wa Königin Luise (uncredited)

Marejeo hariri

  1. "The African Queen (1951) at Reel Classics". www.reelclassics.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-01-06. Iliwekwa mnamo 2022-08-10.