The headies 2007, toleo la pili la tuzo za muziki wa hip hop lilishereheshwa na msanii D'banj na Tana. Tukio hilo lilianyika tarehe 17 mwezi machi 2007 katika ukumbi wa muson centre kwa mwaka wa pili mfululizo. Paul play alishiriki tuzo 6 tofauti na kufanikiwa kushinda tuzo 4.[1]

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-23. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.