The Knights ni katuni inayohusu kijana mdogo aliyezaliwa na bahati ya kujiunga na kikundi cha the knigts ambao si binadamu wa kawaida bali ni kikundi cha mamilioni ya watu walio pande tofauti wanaojulikana kwa alama wanayokuwa nayo mkononi. Hawa knights hujumuika katika sehemu ijulikanaayo kama Black Ridge Palace .Hawa knights huzaliwa na nguvu kadhaa za asili mwilini mwao

Nguvu kadhaa za the knights:

1. kuendesha moto

2. kuendesha maji na barafu

3. kuendesha ardhi

4. kuendesha wanyama

Katika katuni hii ya the knights nyota ni kijana mdogo mwenye nguvu za kuendesha moto na kuamua kujiunga na kikundi cha the knights kwa hali na mali ili kutimiza moja wapo kati ya malengo makubwa ya maisha yake. lengo hilo ni kumuokoa dada yake aliyepotea kwa kutekwa na mtu asiye julikana lakini baada ya kujiunga na kikundi cha the knights akiwa hana uelewa wowote juu ya aliye mteka dada yake ndipo anapopata historia ya mtu ambaye kwa uchunguzi wake anaweza kuwa aliye mteka dada yake baada ya mafunzo kidogo ya jinsi ya kuendesha nguvu zake ndipo anapoamua kufunga safari pamoja na mwalimu wake na marafiki zake wawili ili kwenda kumtafuta dada yake katika safari hii ndipo anapopitia maunivu,upando,marafiki wema pamoja nakujijajili vema.

Kipindi hiki kimekuwa kikionyeshwa katika chaneli ya startimes ya startimes kungfu channel.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Knights kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.