The World's Greatest

"The World's Greatest" ni wimbo uliotungwa na kurekodiwa na mwimbaji wa R&B R. Kelly. Awali wimbo uliwekwa kwenye orodha ya vibwagizo vya filamu ya Ali[1], pia ikaonekana kwenye nakala haramu za albamu zisizotolewa za Kelly, Loveland, ambayo baadaye ilikuja kuwa kama diski ya ziada kwenye albamu ya Chocolate Factory.[2]

“The World's Greatest”
“The World's Greatest” cover
Single ya R. Kelly
kutoka katika albamu ya Ali: Original Soundtrack
B-side A Soldier's Heart
Imetolewa 2002
Muundo CD single
Imerekodiwa 2001
Aina R&B
Studio Jive Records
Mtunzi R. Kelly
Mtayarishaji R. Kelly
Mwenendo wa single za R. Kelly
"Honey"
(2001)
"The World's Greatest"
(2002)
"Ignition"
(2003)

MarejeoEdit

  1. http://www.soundtrack.net/albums/database/?id=2936
  2. http://soundcrank.com/Album.aspx?albumid=169142[dead link]