Thelathini na moja

Thelathini na moja ni namba inayoandikwa 31 kwa tarakimu za kawaida na XXXI kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 30 na kutangulia 32.

31 ni namba tasa.

Matumizi

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thelathini na moja kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.