Thelathini na sita

Thelathini na sita (au sita na thelathini kutoka Kiarabu) ni namba inayoandikwa 36 kwa tarakimu za kawaida na XXXVI kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 35 na kutangulia 37.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 3 x 3.

Matumizi hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thelathini na sita kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.