Themanini
Themanini (kutoka Kiarabu ثمانون) ni namba inayoandikwa 80 kwa tarakimu za kawaida na LXXX kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 79 na kutangulia 81.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 x 2 x 5.
Matumizi
haririTanbihi
haririMakala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Themanini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |