Thenia
Thenia (kwa Kiarabu: الثنية) ni mji ulio kaskazini ya Algeria yenye wakazi takriban 32.000 (2018), kilomita 53 mashariki mwa Algiers. Ilijulikana kama Menerville wakati wa ukoloni wa Ufaransa.[1]
Thenia | |
Majiranukta: 3°33′14″N 36°43′40″E / 3.55389°N 36.72778°E | |
Nchi | Algeria |
---|---|
Kaunti | Boumerdès |
Daira | Thenia |
Tovuti: thenia.net |
Watu mashuhuri
hariri- Sidi Boushaki (1394-1453), Mwanazuoni wa kidini, mkalimani, mwanasheria, mwanaisimu na sufi
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Thenia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |