This Is Me... Then

This Is Me... Then ni albamu ya tatu kutoka kwa mwimbaji Jennifer Lopez, iliyotolewa mnamo Novemba 2002. Albamu hii ilikuwa namba sita kwenye chati ya Billboard 200 na iliuza zaidi ya nakala 314,000 kwenye wiki yake ya kwanza.[1] Ilibaki kwenye top 20 kwa muda ya wiki 12 na kwenye chati kwa muda ya wiki 37. Imeuza zaidi ya nakala milioni 2.5 nchini Marekani[2] na zaidi ya nakala milioni sita kote duniani.[3]

This Is Me... Then
This Is Me... Then Cover
Kasha ya albamu ya This Is Me... Then
Studio album ya Jennifer Lopez
Imetolewa 19 Novemba 2002
Imerekodiwa Machi - 17 Oktoba 2002
Aina Pop, R&B
Lugha Kiingereza
Lebo Epic
Mtayarishaji Cory Rooney (also executive), Troy Oliver, Dan Shea, Poke & Tone, Davy Deluge, Ron G, Dave McPherson, Rich Shelton, Kevin Veney, Loren Hill, Reggie Hamlet, Bernard "Focus..." Edwards, Jr.
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Jennifer Lopez
J to tha L-O!: The Remixes
(2002)
This Is Me... Then
(2002)
Rebirth
(2005)
Kava lingine
UK bonus-disc edition cover
UK bonus-disc edition cover
Single za kutoka katika albamu ya This Is Me... Then
  1. "Jenny from the Block"
  2. "All I Have"
  3. "I'm Glad"
  4. "Baby I Love U!"


Albamu hii ilitoa singles nne: "Jenny from the Block", "All I Have", "I'm Glad" and "Baby I Love U!".

Nyimbo zake hariri

# JinaMtunzi (wa)Producer(s) Urefu
1. "Still"  Casey James, Leroy Bell, Loren Hill, Rich Shelton, Kevin Veney, Leonard HugginsCory Rooney, Loren Hill, Rich Shelton, Kevin Veney 3:40
2. "Loving You"  Rooney, Michael Garvin, Troy Oliver, James Mtume, Tom C. ShapiroCory Rooney, Troy Oliver 3:45*
3. "I'm Glad"  Rooney, Oliver, Andre Deyo, J.B. Weaver, Jr.Cory Rooney, Troy Oliver 3:42
4. "The One"  Linda Creed, Rooney, Thom Bell, Davy DelugeCory Rooney, Dan Shea, Davy Deluge 3:36
5. "Dear Ben"  Rooney, Bernard Edwards Jr.Cory Rooney, Focus... 3:14
6. "All I Have" (featuring LL Cool J)Curtis Richardson, Ron G, Lisa Peters, William Jeffrey, Makeba RiddickCory Rooney, Ron G, Dave McPherson 4:14
7. "Jenny from the Block" (featuring Styles and Jadakiss)Samuel Barnes, Jean-Claude Olivier, Oliver, Deyo, Scott Sterling, M. Oliver, Fernando Arbex, Lawrence ParkerPoke & Tone, Cory Rooney, Troy Oliver 3:08
8. "Again"  Rooney, Oliver, Reggie HamletCory Rooney, Troy Oliver, Reggie Hamlet 5:47
9. "You Belong to Me"  Carly Simon, Michael McDonaldCory Rooney, Dan Shea 3:30*
10. "I've Been Thinkin'"  Rooney, SheaCory Rooney, Dan Shea 4:41
11. "Baby I ♥ U!"  John Barry, Rooney, SheaCory Rooney, Dan Shea 4:43
12. "The One (Version 2)"     3:31

Toleo la Ulaya na Mexico hariri

  1. "I'm Gonna Be Alright" (Track Masters Remix featuring Nas) (Lopez, Oliver, Rooney, Barnes, Olivier, Cheryl Lorraine Cook, Ronald LaPread) – 2:52

Toleo la Brazil hariri

  1. "Jenny from the Block" (Album Version Without Rap) – 2:49

Toleo la Uingereza hariri

Released on 22 Machi 2004

  1. "I'm Gonna Be Alright" (Track Masters Remix featuring Nas) – 2:52

Toleo la ziada hariri

  1. "Jenny from the Block" (Seismic Crew's Latin Disco Trip) – 6:41
  2. "All I Have" (Ignorants Mix featuring LL Cool J) – 4:03
  3. "I'm Glad" (Paul Oakenfold Perfecto Remix) – 5:47
  4. "The One" (Bastone & Burnz Club Mix) – 7:40
  5. "Baby I Love U!" (R. Kelly Remix) – 4:11

Chati hariri

Chati (2002)[4][5][6] Namba
Australian ARIA Albums Chart 14
Belgian Ultratop 50 Albums (Flanders) 6
Belgian Ultratop 50 Albums (Wallonia) 6
Canadian Albums Chart 5
Dutch Albums Chart 4
European Top 100 Albums[7] 3
French SNEP Albums Chart 4
German Albums Chart[8] 4
Japanese Oricon Albums Chart[9] 9
Norwegian Albums Chart 13
Swiss Albums Chart 3

Chart (2003) Peak
position
Austrian Albums Chart 7
Danish Albums Chart 13
Finnish Albums Chart 10
Hungarian Mahasz Albums Chart[10] 9
Irish Albums Chart 15
Italian FIMI Albums Chart 11
New Zealand RIANZ Albums Chart 19
Polish Albums Chart[11] 19
Portuguese Albums Chart 22
Swedish Albums Chart 7
UK Albums Chart 13
U.S. Billboard 200 2
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums 5
U.S. Billboard Top Internet Albums 2

Thibitisho hariri

Nchi Anayetoa Thibitisho Mauzo
Australia ARIA Platinum[12] 70,000
Austria IFPI Gold[13] 10,000
Ubelgiji Gold[14] 15,000
Canada CRIA 2× platinum[15] 200,000
Ulaya IFPI Platinum[16] 1,000,000
Finland Gold[17] 19,998
Ufaransa SNEP 2× gold[18] 320,000[19]
Ujerumani IFPI Gold[20] 100,000
Hungary Mahasz Gold[21] 3,000
Netherlands NVPI Gold[22] 30,000
New Zealand RIANZ Gold[23] 7,500
Portugal AFP Gold[24] 10,000
Sweden IFPI Gold[25] 20,000
Uswizi Platinum[26] 40,000
Uingereza BPI Platinum[27] 300,000
Marekani RIAA 2× platinum[28] 2,500,000[29]

Marejeo hariri

  1. Martens, Todd (4 Desemba 2002). "Twain Remains 'Up' Top On Billboard Chart". Billboard. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-23. Iliwekwa mnamo 2008-11-27. 
  2. Cohen, Jonathan (1 Februari 2005). "Lopez Gearing Up For March 'Rebirth'". Billboard. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-12-14. Iliwekwa mnamo 2009-04-18. 
  3. "Jennifer Lopez – Sony BMG Denmark – Officiel engelsk biografi". Sony BMG Denmark. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-22. Iliwekwa mnamo 2009-04-18. 
  4. "This Is Me... Then > Charts & Awards > Billboard Albums". Allmusic. Iliwekwa mnamo 2008-11-16. 
  5. "Jennifer Lopez – This Is Me...Then – swisscharts.com". SwissCharts.com. Iliwekwa mnamo 2008-11-16. 
  6. "Jennifer Lopez – This Is Me...then – Music Charts". αCharts.us. Iliwekwa mnamo 2008-11-16. 
  7. "European Top 20 Albums Chart – Week Commencing 9th Desemba 2002" (PDF). Music & Media. Iliwekwa mnamo 2008-11-17. 
  8. "Musicline.de – Jennifer Lopez – This Is Me...then". Musicline.de (kwa German). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-19. Iliwekwa mnamo 2008-11-16. 
  9. "This Is Me... Then – Oricon". Oricon (kwa Japanese). Iliwekwa mnamo 2008-11-27. 
  10. "Top 40 album- és válogatáslemez-lista – 2003. 2. hét". Mahasz (kwa Hungarian). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-12. Iliwekwa mnamo 2008-11-16. 
  11. "Oficjalna lista sprzedaży – 13 Januari 2003". OLiS. Iliwekwa mnamo 2008-11-28. 
  12. "ARIA Charts – Accreditations – 2002 Albums". ARIA. Iliwekwa mnamo 2009-04-18. 
  13. "IFPI Austria – Gold & Platin Datenbank". IFPI (kwa German). 7 Januari 2003. Iliwekwa mnamo 2009-04-18. 
  14. "Ultratop – Goud en platina – Albums – 2002". Ultratop (kwa Dutch). 7 Desemba 2002. Iliwekwa mnamo 2009-04-18. 
  15. "CRIA: Gold & Platinum – Machi 2006". CRIA. 22 Machi 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-07. Iliwekwa mnamo 2009-04-18. 
  16. "IFPI Platinum Europe Awards – 2002". IFPI. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-03-20. Iliwekwa mnamo 2009-04-18. 
  17. "IFPI Finland – Jennifer Lopez". IFPI (kwa Finnish). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-12-20. Iliwekwa mnamo 2009-04-18. 
  18. "Certifications Albums Double Or – année 2003". SNEP (kwa French). 2 Februari 2003. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-22. Iliwekwa mnamo 2009-04-18. 
  19. "Parcours Album". Fan Of Music (kwa French). Iliwekwa mnamo 2009-04-18. 
  20. "Gold/Platin-Datenbank". Bundesverband Musikindustrie (kwa German). Iliwekwa mnamo 2008-04-18. 
  21. "MAHASZ – Adatbázis – 2003". Mahasz (kwa Hungarian). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-27. Iliwekwa mnamo 2009-04-18. 
  22. "NVPI – Goud/Platina". NVPI (kwa Dutch). Iliwekwa mnamo 2009-04-18. [dead link]
  23. "New Zealand Top 50 Albums (see "Chart #1341 – Sunday 19 Januari 2003")". RIANZ. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.  Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url= ignored (help)
  24. "Top 30 Artistas – Semana 11 de 2003". AFP (kwa Portuguese). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-03. Iliwekwa mnamo 2009-04-18. 
  25. "IFPI Sweden – Guld & Platina – År 2003" (PDF). IFPI (kwa Swedish). 15 Januari 2003. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-01. Iliwekwa mnamo 2009-04-18. 
  26. "Swiss Certifications – Awards 2002". SwissCharts.com. Iliwekwa mnamo 2009-04-18. 
  27. "The BPI database"
  28. "RIAA – Gold & Platinum". RIAA. 14 Januari 2003. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2009-04-18. 
  29. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named us_sales