Thomas Berly
Thomas Burleigh Kurishingal (1932 - 16 Desemba 2024) alikuwa mwigizaji, mwongozaji, mtayarishaji, mwandishi wa miswada, mtunzi wa muziki katika filamu za Kimalayalam, na mwandishi wa vitabu kwa Kiingereza kutoka India. [1]
Marejeo
hariri- ↑ S, Priyadershini. "Malayalam cinema's 'youngest' hero turns 90", The Hindu, 2022-09-04. (en-IN)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Thomas Berly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |