Thomas Holford
Thomas Holford (1541 – 1588) alikuwa mwalimu Mprotestanti kutoka Uingereza ambaye aligeukia kuwa kasisi Mkatoliki wakati wa utawala wa Malkia Elizabeth I.
Alishuhudia imani yake mpya na kuuawa kama shahidi huko Clerkenwell, London.
Kanisa Katoliki limemtambua kama mwenye heri.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Malcolm Pullan (30 Aprili 2008). The Lives and Times of Forty Martyrs of England and Wales 1535 – 1680. Athena Press. uk. 240. ISBN 978-1-84748-258-7. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2012.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |