Tiaret ni mji muhimu wa Algeria. Ndio wa kumi nchini kwa wingi wa wakazi.

Majira ya usiku ndani ya mji wa Tiaret, Moroko
Majira ya usiku ndani ya mji wa Tiaret, Moroko

Hao walihesabiwa kuwa 201,263 mwaka 2008[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "The provinces of Algeria and all cities of over 25,000 inhabitants". Citypopulation.de. Iliwekwa mnamo 2008-04-14. 
  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tiaret kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.