Timu ya taifa ya mpira wa kikapu kwa wanaume chini ya umri wa miaka 16 Afrika Kusini

South Africa men's national under-16 basketball team Ni timu ya taifa ya mpira wa Kikapu Afrika Kusini, inayoongozwa na Mpira wa Kikapu Afrika Kusini.[1]Inawakilisha nchi kwenye mashindano ya mpira wa kikapu chini ya miaka 16 (chini ya umri wa miaka 16).

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Profile | FIBA.COM". www.fiba.basketball. Iliwekwa mnamo 2022-09-02.