Tirso, Leukio na wenzao

(Elekezwa kutoka Tirso na wenzake)

Tirso, Leukio na wenzao Kaliniko na wengineo (walifariki Apolonia, Bitinia, leo nchini Uturuki, 251 hivi) walikuwa Wakristo waliofia dini yao hiyo wakati wa dhuluma ya kaisari Decius[1].

Sanamu ya Mt. Tirso huko Trier, Ujerumani.

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 14 Desemba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.