Tom na Jerry

(Elekezwa kutoka Tom & Jerry)

Tom na Jerry ni washindi wa tuzo ya Oscars (Academy Award) kama mfululizo wa vikatuni bora vilivyokuwa vinatayarishwa na kampuni ya Metro-Goldwyn-Mayer.

Tom na Jerry
Tom na Jerry ya miaka ya 1940 na 1950.
Tom na Jerry ya miaka ya 1940 na 1950.
Imeongozwa na William Hanna
na Joseph Barbera
Imetungwa na William Hanna
na Joseph Barbera
Imetaarishwa na Rudolf Ising (seh. ya kwanza)

Fred Quimby (seh. ya 95)
William Hanna na Joseph Barbera (seh. ya 18)

Muziki na Scott Bradley (seh. ya 113)

Edward Plumb (seh. ya 73)

Muda wake dk.6 hadi 9 (kwa sehemu)
Imetolewa tar. 1940 - 1958
Nchi Marekani
Lugha Kiingereza

Hadithi inayosimuliwa ni mara kwa mara majaribio ya paka Tom kumshika panya Jerry bila kufaulu.

Katuni nyingi za Tom na Jerry zilikuwa zinatengenezwa fupifupi. Tom na Jerry ilitungwa na kuongozwa na William Hanna na Joseph Barbera. Katuni laki moja na kumi na nne za Tom na Jerry zilitaarishwa na studio ya katuni iitwayo MGM iliyopo mjini Hollywood kuanzia mwaka 1940 hadi 1957, ambapo kitngo cha katuni katika MGM kilipofungwa.

Filamu

hariri

Marejeo na viungo vya nje

hariri
  • Adams, T.R. (1991). Tom and Jerry: Fifty Years of Cat and Mouse. Crescent Books. ISBN 0-517-05688-7.
  • Barrier, Michael (1999). Hollywood Cartoons: American Animation in Its Golden Age. Oxford: Oxford University Press. ISBN 0-19-503759-6.
  • Maltin, Leonard (1980, updated 1987). Of Mice and Magic: A History of American Animated Cartoons. New York: Penguin Books. ISBN 0-452-25993-2.
 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:


  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tom na Jerry kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.