Tomoya Kamiyama (神山 知也,Kamiyama Tomoya,alizaliwa 21 Februari 1988 katika Mkoa wa Tochigi) ni mwanariadha nchini Japani ambaye alibobea katika mbio za mita 200.Alishiriki katika mashindano ya dunia ya mwaka 2007 na kufikia robo fainali alishinda medali ya shaba katika Universiade ya mwaka 2007.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Profile". World Athletics. Iliwekwa mnamo 21 Oktoba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tomoya Kamiyama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.