Toni Braxton (albamu)

Toni Braxton ni albamu ya mwanzo yenye jina lilo hilo ambayo imetolewa na mwimbaji wa R&B wa Marekani Toni Braxton. Ilitolewa nchini U.S.A mnamo 13 Julai 1993 na shirika la LaFace Records ilikaa katika chati za Billboard 200 kwa majuma mawili yasiyofuatana na ikauza nakala zaidi ya nakala milioni nane nchini Marekani pekee.

Toni Braxton
Toni Braxton Cover
Studio album
Single za kutoka katika albamu ya {{{Jina}}}
  1. "Love Shoulda Brought You Home"
  2. "Another Sad Love Song"
  3. "Breathe Again"
  4. "Seven Whole Days"
  5. "You Mean the World to Me"
  6. "I Belong to You"
  7. "How Many Ways"


Toleo la Kijapani hariri

Nchini Japan inajulikana kama Love Affair, ambalo pia ni jina lakibao katika albamu hiyo. Toleo la hilo ni sawa na lile la kawaida ambalo lina vibao 12. Tofauti pekee ni Obi strip na kijitabu cha maneno ya nyimbo hizo zikiwa zimeandikwa katika maandishi ya Lugha ya Kijapani.

Orodha ya Vibao hariri

  1. "Another Sad Love Song" (Babyface, Daryl Simmons) – 5:01
  2. "Breathe Again" (Babyface) – 4:29
  3. "Seven Whole Days" (Antonio "L.A." Reid, Babyface) – 6:22
  4. "Love Affair" (Tim Thomas, Teddy Bishop) – 4:28
  5. "Candlelight" (Gaylor Dunn, John Barnes) – 4:36
  6. "Spending My Time with You" (Bo Watson, McArthur) – 4:08
  7. "Love Shoulda Brought You Home" (Babyface, Simmons, Watson) – 4:56
  8. "I Belong to You" (Vassal Benford, Ronald Spearman) – 3:53
  9. "How Many Ways" (Vincent Herbert, Toni Braxton, Noel Goring, Keith Miller, Phillip Field) – 4:45
  10. "You Mean the World to Me" (Reid, Babyface, Simmons) – 4:53
  11. "Best Friend" (Braxton, Vance Taylor) – 4:28
  12. "Breathe Again" (Reprise) (Babyface) – 1:19

Toleo la Uropa hariri

  1. "Give U My Heart" (Mad Ball Mix) (Babyface akimshirikisha Toni Braxton) (Reid, Babyface, Simmons, Watson) – 6:11

Chati hariri

Chati (1993) Kilele
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums[1] 1
Chati (1994) kilele
Australian Albums Chart[2] 6
Dutch Albums Chart[2] 11
Hungarian Albums Chart[3] 39
Japanese Albums Chart[4] 79
New Zealand Albums Chart[2] 2
Norwegian Albums Chart[2] 14
Swedish Albums Chart[2] 24
UK Albums Chart[5] 4
U.S. Billboard 200[1] 1
Chati (1997) kilele
German Albums Chart[6] 7

Vyeti vya Uthibitisho hariri

Nchi Mkabidhi Thibitisho Mauzo
Canada CRIA 2× platinum[7] 200,000
Netherlands NVPI Gold[8] 30,000
United Kingdom BPI Gold[9] 100,000
United States RIAA 8× platinum[10] 8,000,000

Virejeleo hariri

  1. 1.0 1.1 "Toni Braxton > Charts & Awards > Billboard Albums". Allmusic. Iliwekwa mnamo 2008-10-04. 
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 2.4 "Toni Braxton – Toni Braxton – swisscharts.com". swisscharts.com. Iliwekwa mnamo 2008-10-04. 
  3. "Top 40 album- és válogatáslemez-lista – 1994. 16. hét". Mahasz (kwa Hungarian). Iliwekwa mnamo 2008-10-04. 
  4. "Love Affair – Oricon". Oricon (kwa Japanese). Iliwekwa mnamo 2009-07-24. 
  5. "Chart Stats – Toni Braxton – Toni Braxton". Chart Stats. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-24. Iliwekwa mnamo 2008-10-04. 
  6. "Musicline.de – Toni Braxton – Toni Braxton". Musicline.de (kwa German). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-07. Iliwekwa mnamo 2008-10-04. 
  7. "CRIA: Search Certification Database". CRIA. 16 Juni 1995. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2009-07-20. 
  8. "NVPI – Goud/Platina". NVPI (kwa Dutch). Iliwekwa mnamo 2009-07-20. [dead link]
  9. "Chart Log UK – 1994–2008". Zobbel.de. Iliwekwa mnamo 2009-07-20. 
  10. "RIAA – Gold & Platinum". RIAA. 28 Februari 1997. Iliwekwa mnamo 2009-07-20. 
Alitanguliwa na
Kickin' It Up ya John Michael Montgomery
Music Box ya Mariah Carey
Albamu ya kwanza katika U.S. Billboard 200
26 Februari 1994 (mara ya kwanza)
19 Machi 1994 (mara ya pili)
Akafuatiwa na
Music Box by Mariah Carey
Superunknown ya Soundgarden