Tracy Chapman
Tracy Chapman (amezaliwa tar. 30 Machi 1964) ni mtunzi-mwimbaji wa muziki wa Kiamerika. Anafahamika zaidi nyimbo zake zilizomaarufu, "Fast Car", "Talkin' 'bout a Revolution", "Baby Can I Hold You" na "Give Me One Reason". Pia ni mshindi wa tuzo nyinginyingi za muziki-Grammy kama msanii bora.
Viungo vya nje
hariri- Official website
- Tracy Chapman unofficial website
- Tracy Chapman Fansite Archived 7 Machi 2008 at the Wayback Machine.
- Tracy Chapman Artist pages on Atlantic Records site. Archived 26 Oktoba 2009 at the Wayback Machine.
- Fan Channel on YouTube
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tracy Chapman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |