Trakai ni mji wa kihistoriai nchini Lituanya. Kuna wakazi 5,357 (mwaka 2009). Mji ulianzishwa 1409. Kuna boma katika kisiwa: Trakų salos pilis (Boma la kisima cha Trakai)

Boma la Trakai

JiografiaEdit

Iko kando ya Galvė.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu "Trakai" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Trakai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.