Trevyn McDowell
Muigizaji wa Afrika Kusini
Trevyn McDowell ni mwigizaji wa zamani na msanii wa Afrika Kusini[1] ambaye ameigiza katika filamu, program za televisheni,ukumbi wa michezo na redio, hasa katika nchi yake ya asili ya Uingereza.
Trevyn McDowell | |
---|---|
Amezaliwa | Trevyn McDowell 26 Aprili 1967 Johannesburg,Afrika kusini |
Kazi yake | Mwigizaji |
Tanbihi
hariri- ↑ Russell, Rosalind. "Me And My Home: Rosalind Russell talks to Trevyn McDowell about her string of successful conversions", 10 September 2003. Retrieved on 24 August 2011.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Trevyn McDowell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |