Troadi (alifariki Kaisarea Mpya, Ponto, leo nchini Uturuki, 250 hivi) alikuwa Mkristo aliyeuawa katika dhuluma ya kaisari Decius kwa sababu ya imani yake[1].

Kifodini chake kilishuhudiwa na askofu Gregori Mtendamiujiza.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Machi[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.