Trusty Gina ni mwanasiasa wa Eswatini. Alikuwa Naibu Spika wa Bunge la Wawakilishi wa Swaziland kutoka mwaka 2003 hadi 2008.[1] na Spika wa muda kutoka Machi 11 hadi Mei 11, 2004 na tena kutoka Oktoba 26 hadi Novemba 3, 2006.[2]


Marejeo

hariri
  1. Swaziland Parliament Guide2womenleaders.com
  2. Poverty alleviation scheme threatened Archived 2011-07-26 at the Wayback Machine IRIN, 15 April 2004
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Trusty Gina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.