Tshikapa
Tshikapa ni mji mkubwa zaidi wa mkoa wa Kasai katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wakazi ni 587,548.
Country | ![]() |
---|---|
Mkoa | Kasai |
Idadi ya wakazi (2012) | |
- Wakazi kwa ujumla | 587,548 |
Mji uko kwenye mto Tshikapa na mto Kasai.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tshikapa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |