Tshopo Ngwane
Tshepo Ngwane (21 Julai 1976 – 27 Oktoba 2015) alikuwa muigizaji maarufu wa Afrika Kusini kwa uhusika wake kama Thiza kwenye tamthilia ya kuigiza ya runinga ya Afrika Kusini Yizo Yizo.[1]
marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tshopo Ngwane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
[[J amii:Arusha MoAC]]
- ↑ "Tshepo Ngwane | TVSA". tvsa.co.za. Iliwekwa mnamo 2015-11-01.