Tshwane Suns ni timu ya mpira waa kikapu inayopatikana Tshwane, Afrika Kusini. Timu ilishiriki katika mashindano ya Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu.[1]

Uwanja hariri

Kama ilivyo kwa timu nyingine za Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu.[1] Suns wanacheza michezo yao katika viwanja vya Wembley vilivyopo Stafford , Gauteng, katika mji wa Johannesburg Metropolitani Municipality, uwanja wa zamani wa barafu ambao huchukua hadi wageni 3,000.[1]

Wachezaji Mashuhuri hariri

- Awe na historia na mchango katika maendeleo ya clabu au awe na tuzo binafsi kama mchezaji maarufu.

- Awe angalau ameshacheza mechi za kimataifa akiwa katika timu yake ya kawaida

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 1.2 Boroughs, Don (2015-08-03), "Basketball (And The NBA) Try To Find Fans In South Africa", NPR (in English), retrieved 2022-09-02