Tsigie Gebreselama

Tsigie Gebreselama (Alizaliwa Septemba 30, 2000) mwanariadha wa mbio ndefu kutoka nchini Ethopia[1]. Mwaka 2019 alishinda marathoni kilometa 15 ya Istanbuli kwa wanawake.

Marejeo hariri

  1. "Athletics GEBRESELAMA Tsigie - Tokyo 2020 Olympics". olympics.com (kwa en-us). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-11. Iliwekwa mnamo 2021-10-11.