Tsung-Dao Lee (amezaliwa 25 Novemba 1926) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya China; baadaye alihamia Marekani. Hasa alichunguza vipande vya atomu na nadharia yake. Mwaka wa 1957, pamoja na Chen Ning Yang alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Tsung Dao Lee


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tsung-Dao Lee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.