Tumaini Bigilimana

Tumaini Bigilimana (pia: Aunt Fifi, Aunty Fifi) ni mwigizaji na mtayarishaji wa filamu nchini Tanzania. Ndiye mtunzi wa filamu ya Senior bachelor, filamu iliyomletea tuzo kadhaa msanii Jacob Stephen ‘JB’ kupitia filamu hiyo ambayo, pia alipata kutayarisha filamu yake aliyoipa jina la Kizungumkuti na kufanya vizuri.[1]

Kama hiyo haitoshi Fifi alipata kutamba katika filamu mbalimbali zikiwemo Copy, Sound of Death, Senior Bachelor, I Deserve It, Kaburi la Mapenzi, Fake Smile, Daddy, Cross My Sin na nyinginezo.[2]

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tumaini Bigilimana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.