Chuo Kikuu cha Makumira

(Elekezwa kutoka Tumaini University Makumira)

Chuo Kikuu cha Makumira (MUCo) ni tawi kongwe zaidi la Chuo Kikuu cha Tumaini,[1] kilichopo katika mji mdogo wa Makumira, katika Kata ya Poli, Mkoa wa Arusha, Tanzania. Nafasi yake katika mwaka 2017 kwenye Webometric ya Vyuo Vikuu vya Dunia kwa Tanzania ni nafasi ya 21.[2][3]

Matawi ya Chuo hariri

Chuo Kikuu kina Wawakilishi watano na vituo vya mafunzo:[4]

  1. Chuo Kikuu cha Tiba Kilimanjaro (KCMUCo)
  2. Chuo kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo) Archived 14 Agosti 2021 at the Wayback Machine.
  3. Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Stephano Moshi (SMMUCo)
  4. Chuo kikuu cha Josiah Kibira (JoKUCo) Archived 7 Mei 2021 at the Wayback Machine. Kilizinduliwa Januari 2013
  5. TUMA-Mbeya Centre

Marejeo hariri

  1. "Register of Universities" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 24 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 15 Julai 2013. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Tanzania, United Republic of | Ranking Web of Universities". Webometrics.info. Januari 2017. Iliwekwa mnamo 2017-04-09.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Makumira University".
  4. "Evangelical Luthern Church in Tanzania – Tumaini University". ELCT. Iliwekwa mnamo 2017-04-09.