Tunu Pinda ni mwanaharakati wa Tanzania ambaye amehusika katika kukuza usawa wa kijinsia katika sekta mbalimbali za maendeleo, hasa ya uchumi wa kilimo, nchini Tanzania[1]

Uanaharakati hariri

Tunu Pinda amesisitiza umuhimu wa kanuni za kuwalinda walaji na kuboresha uwezo wa Tanzania kusafirisha bidhaa kwenye masoko ya kimataifa.[2]

Tanbihi hariri

  1. "Tunu Pinda Foundation – Non-Governmental Organization to Train and Equip" (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-08-18. "Mama Tunu Pinda awataka wanawake Songwe kupinga ukatili". Mwananchi (kwa Kiingereza). 2023-03-09. Iliwekwa mnamo 2023-08-18. 
  2. "Improve product packaging to attract buyers, producers told". The Citizen (kwa Kiingereza). 2021-04-03. Iliwekwa mnamo 2023-08-18.