Toscana

(Elekezwa kutoka Tuscia)

Toscana (ing. Tuscany) ni mmoja kati ya mikoa 20 ya Italia.

Sehemu ya mkoa wa Toscana
Bendera ya Toscana.
Bendera ya Toscana.
Mkoa wa Toscana katika Italia.
Wilaya za Toscana.

Iko katikati ya rasi ya Italia, kaskazini kwa Roma.

Imepakana na mikoa ya Emilia-Romagna, Liguria, Umbria, Marche na Lazio, mbali ya bahari ya Kati.

Eneo lake ni la km² 20,990.

Jumla ya wakazi ilikuwa 3,516,000 mwaka 2004.

Mji mkuu ni Firenze.

Toscana huitwa mkoa mzuri wa Italia kwa sababu ya hali ya hewa, uzuri wa mabonde na milima na urithi wake wa utamaduni na sanaa.

Jiografia hariri

Sehemu kubwa ni eneo la vilima-vilima.

Kuna tambarare katika bonde la mto Arno.

Wilaya hariri

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri


 
Mikoa ya Italia
 
Mikoa ya kawaida
Abruzzo | Basilicata | Calabria | Campania | Emilia-Romagna | Lazio | Liguria | Lombardia | Marche | Molise | Piemonte | Puglia (Apulia) | Toscana | Umbria | Veneto |
Mikoa yenye katiba ya pekee
Friuli-Venezia Giulia | Sardinia | Sisilia | Trentino-Alto Adige | Valle d'Aosta
  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Toscana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.