Tuul (kwa Kimongolia: Туул гол) ni mto muhimu wa Mongolia. Mto una urefu wa km 704 na beseni la km² 49,840.

Mto tuul

Chanzo chake ni ambapo matawimto ya Namiya na Nergui inaungana kwenye mtelemko wa mlima Khentei. Tuul inapeleka maji yake kwenda ziwa Baikal kupitia mto Selenge. Inapita katika mji mkuu Ulanbaatar.

Beseni la Tuul ni asilimia 3.19 tu za eneo la Mongolia lakini zaidi ya nusu ya wakazi wa nchi huishi humo.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tuul (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.