Tuzo tatu za muziki
Tuzo tatu Ni sherehe za tuzo za
wa Ghana zilizoanzishwa 2018 kusherekea muziki wa Ghana . Ilianzishwa na mtandao wa tuzo tatu na chaneli ya General TV3 Kama chombo Cha habari. Mwaka 2020 tamasha la mashabiki lililotarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Accra polo lilighairishwa na sherehe za tuzo zikafanyika ndani ya jumba la Fantasy Dom trade Fair la. Hii Ni kwa sababu ya katazo la mikusanyiko ya watu kwa sababu ya covid 19