Tuzo ya Buja ya Muziki
Buja Music Awards (BMA) (kwa Kiswahili: Tuzo za Muziki wa Buja') ni onyesho la tuzo za muziki za Burundi.
Buja Music Awards | |
---|---|
Tuzo hutolewa kwa ajili ya | Muziki tu. |
Huwakilishwa na | Bujumbura |
Nchi | Burundi |
Tuzo ya kwanza | 7 julai 2019 |
Tuzo hiyo iliyoanzishwa mnamo mwaka wa 2018 na Kora Entertainment na Gahungu Movement kuheshimu wanamuziki wa Burundi na watengenezaji wa muziki.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tuzo ya Buja ya Muziki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |