Tuzo ya Ebrahim Husein

Tuzo ya Ebrahim Husein ilianzishwa mwaka 2014 [1] ili kumuenzi profesa na nguli wa fasihi, profesa Ebrahimu Husein, malengo yakiwa ni kukuza, kuendeleza na kutia hamasa watunzi wa mashairi nchini Tanzania[2].

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tuzo ya Ebrahim Husein kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.