Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu

Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani. Ni miongoni mwa aina za asili zilizotolewa kuanzia 1917, na imetolewa kumheshimu mwandishi Mwarekani aliyeandika wasifu wa mtu hodari katika mwaka uliopita.

Kuanzia 1980, wagombea watatu wa mwisho walikuwa hutangazwa, yaani mshindi mkuu pamoja na mshindi wa pili na wa tatu.

Washindi

hariri

Katika miaka 97 hadi 2013, Tuzo ya Wasifu ilitolewa mara 97; kulikuwa na washindi wawili mwaka wa 1938, na hakuwa na tuzo 1962. Waandishi mbalimbali wametuzwa Tuzo hiyo mara mbili:

Miaka ya 1910

hariri

Miaka ya 1920

hariri

Miaka ya 1930

hariri

Miaka ya 1940

hariri

Miaka ya 1950

hariri

Miaka ya 1960

hariri

Miaka ya 1970

hariri

Miaka ya 1980

hariri

Kuanzia hapo, kunatajwa mshindi pamoja na wagombea wawili wengine wa mwisho.

Miaka ya 1990

hariri

Miaka ya 2000

hariri

Miaka ya 2010

hariri