Tuzo ya Thomas Pringle

Tuzo ya Thomas Pringle ni tuzo itolewayo kwa ajili ya maandishi hodari katika magazeti na majarida. Hutolewa na Taasisi ya Kiingereza ya Afrika Kusini.

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tuzo ya Thomas Pringle kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.