Tuzo za Muziki Senegal
Tuzo
Tuzo za muziki Senegal (SENMA) ni sherehe bora za mwaka katika tasnia ya muziki Senegal. Tukio lilianzishwa 2008. Tuzo zilijikita kwenye maonyesho yaliofanywa mwaka uliopita kwenye makundi 56. Sherehe zinahusisha maonyesho ya baadhi ya walioteuliwa. Kulingana na tuzo za muziki Afrika Kusini na tuzo Grammy.
Tuzo za awali za muziki Senegal hariri
Jumla hariri
- Mwanamuziki bora wa kike-Titi
- Mwanamuziki bora wa kiume- Pape Diouf
- kundi bora- Alif
- Nyimbo bora- Tayoumako (Titi)
- Albamu bora- Muziki (Titi)
- Nyimbo bora- biss bi(abdou guitté Seck)
- Mwanamuziki bora chipukizi wa kike- Adiouza
- Mwanamuziki bora chipukizi wa kiume- Waly Secky
Okestra/Kidini hariri
- Maonyesho bora ya okestra- Ali Jabert
- Maonyesho bora ya kwaya- Semegna Les martyrs de l'ouganda
- Maonyesho bora ya kiislam- Baye (Aida Baye)
Vichekesho hariri
- Mchekeshaji bora- Sanekh
- Mchekeshaji bora Cd- bébé Diarra- Jankheen
Tuzo za muziki Senegal (SENMA) ni sherehe bora za mwaka katika tasnia ya muziki Senegal. Tukio lilianzishwa 2008. Tuzo zilijikita kwenye maonyesho yaliofanywa mwaka uliopita kwenye makundi 56. Sherehe zinahusisha maonyesho ya baadhi ya walioteuliwa. Kulingana na tuzo za muziki Africa Kusini na tuzo Grammy
Marejeo hariri
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |