Tuzo za Muziki za Ghoema

Sherehe ya mwisho ya muziki wa Ghoema Ni tuzo ya muziki inayotolewa nchini Afrika Kusini ili kutambua mafanikio na michango ya Wanamuziki wa kiafrika ,tuzo hizi ilianza kutolewa mnamo mwaka 2012 na hutolewa na Goeth Trus, sherehe za utoaji wa tuzo hizi hufanyika kila mwaka katika mwezi Machi..[1]

HistoriaEdit

Tuzo za Goema zilianza kutolea rasmi mnamo mnamo 12 Machi 2012 katika wa Johannesburg nchini Afrika ya Kusini.

Viungo vya NjeEdit

MarejeoEdit

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-04-20. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.