Ty Dolla Sign (alizaliwa 13 Aprili 1985) ni mwimbaji, mtayarishaji na mwandishi wa nyimbo wa Marekani.

Ty Dolla Sign
Ty Dolla Sign, mnamo 2018.
Ty Dolla Sign, mnamo 2018.
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Tyrone William Griffin Jr.
Amezaliwa 13 Aprili 1982 (1982-04-13) (umri 42)
Kazi yake Mwimbaji
Ala Sauti
Miaka ya kazi 2004-hadi leo
Studio Atlantic Records
Tovuti dollasignworld.com

Baba yake alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Lakeside.

Alianza kazi yake ya muziki mwaka 2007 kama mpiga gitaa. Mwaka 2010 alitoa wimbo wake wa kwanza uliojulikana kama Toot It and Boot It chini ya produza Def Jam Recordings.

Mwaka 2013 alisaini mkataba na lebo iliyotambulika kama Wiz Khalifa's Taylor Gang Records ambapo mwaka 2015 alitoa albamu yake iliyoitwa Tree Tc.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ty Dolla Sign kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.