Uşak (inatamkwa Ushak) ni mji uliopo ndani ya Ukanda wa Aegean nchini Uturuki. Mji una wakazi takriban 172,709 (sensa ya mwaka wa 2007) na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Uşak.

Kanisa la zamani,Uşak

Viungo vya NjeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uşak kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.