UNRISD ni kifupisho cha United Nations Research Institute for Sustainable Development (Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa Mataifa ya Maendeleo Endelevu) ni kitengo cha Umoja wa Mataifa. Ofisi yake iko Geneva, Uswisi.

UNRISD iko katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa huko Geneva.

Ilianzishwa mwaka 1963.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu "UNRISD" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.