Ubarikio
Ubarikio ni ibada ya Mkristo kuombewa na askofu au mchungaji wa Kiprotestanti ili kupokea vipaji vya Roho Mtakatifu. Unafanana na Kipaimara, ila si sakramenti.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ubarikio kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |