Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1844

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1844 ulikuwa wa 15 katika historia ya Marekani. Ukafanywa tarehe 1 Novemba hadi 4 Desemba. Upande wa "Democratic Party", James Polk (pamoja na kaimu wake George M. Dallas) alimshinda mgombea wa "Whig Party" Henry Clay (pamoja na kaimu wake Theodore Frelinghuysen).

Matokeo hariri

Polk akapata kura 170 na Clay 105. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.