Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1880

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1880 ulikuwa wa 24 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 2 Novemba. Upande wa "Republican Party", James Garfield (pamoja na kaimu wake Chester Arthur) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" Winfield Scott Hancock (pamoja na kaimu wake William Hayden English).

Matokeo hariri

Garfield akapata kura 214, na Hancock 155. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.